Stesheni ya runinga
Maelezo
Cable News Network (Kifupi: CNN) ni stesheni ya runinga inayotangaza habari iliyoanzishwa na Ted Turner mnamo 1980. CNN ilikuwa stesheni ya kwanza inayotangaza habari masaa 24. Makao yake makuu yako mjini Atlanta, ingawa ina vituo vingine mjini New York, Washington, D.C. na Los Angeles.
-Wikipedia
